KANYE WEST KUPANDISHWA KIZIMBANI BAADA YA KUMPIGA MWANDISHI WA HABARI
Rapa Kanye West anashitakiwa kwa kesi ya jaribio la unyang'anyi baada ya kumshambulia mpiga picha mmoja katika uwanja wa ndege wa LAX jana.
Msemo unaosema kuwa Hasira hasara, msemo huo ulitaka kumpeleka pabaya muimbaji Kanye West pale alipokuwa ameamua kumsulubu mpiga picha mmoja .
Kanye West anaonekana kuwa na hasira na mapaparazi, hasira zake hizo jana zimemfanya amshambulie mmoja wao kwenye uwanja wa ndege wa LAX huku akitaka kumnyanga'nya camera.