MCHIZI MOX AZIMII KUCHANA NYWELE
Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Taikuni Ally 'Moxie' atoa kali ya mwaka na kudai kuwa katika vipindi ambavyo havipendi kufanya ikiwemo pamoja na kuchana nywele.
Msanii huyo alimwambia muandishi wa habari hii kuwa tangu akiwa mdogo jambo ambalo alikuwa akipingana nalo moja wapo ni kuchana nywele huku akiamini kuwa ni tabia za ughaibuni.
"Mimi sipendi kuchana nywele na wala haijawahi kutokea nikichana nywele kwani naamini ni tabia za nje huku kwetu hakuna mambo hayo" alisema msanii huyo