SIRI YA MTUNGI IMEAMBULIA PATUPU TUZO ZA AFRICA MAGIC VIEWERS
Tamthilia ya Tanzania ‘Siri ya Mtungi’ imeshindwa kung’ara kwenye AfricaMagic Viewers’ Awards 2014 zilizofanyika Jana (March 8), jijini Lagos Nigeria.
Siri ya Mtungi ilitajwa kuwania tuzo katika vipengele saba lakini haikuweza kushinda katika vipengele vyote.
Baada ya tuzo hizo, Siri Ya Mtungi wameandika kwenye ukurasa wao wa Facebook:
“Kwa bahati mbaya Siri ya Mtungi haijafanikiwa kupata tuzo yoyote ya #AMVCA. Tunashukuru kwa 'support' yenu kubwa na tunajitayarisha kwa ajili ya tuzo zingine mwakani! Tunatoa pongezi kwa wengine wote waliokuwa 'nominated' pamoja na washindi wote!”
Hii ni orodha kamili ya washindi
Best Movie 2013
Shirley Frimpong-Manso, Yvonne Okoro & Ken Attoh – Contract
Best Movie Drama
Frank Rajah Arase – The Groom’s Bride
Best Movie Comedy
Elvis Chucks – A Wish
Best Movie Director
Shirley Frimpong-Manso – Contract
Best Actress in a Drama
Nse Ikpe-Etim – Journey to Self
Best Actor in a Drama
Tope Tedela – A Mile From Home
Best Supporting Actress
Bikiya Graham-Douglas – Flower Girl
Best Supporting Actor
Desmond Elliot – Finding Mercy
Best Actress in a Comedy
Funke Akndele – Return of Sheri Koko
Best Actor in a Comedy
Osita Iheme – The Hero
Best Television Series Comedy/Drama
Fred Phiri – Love Games Episode 6
Best Short Film
Walter “Waltbanger” Taylaur – The Wages
Best Documentary
Dr Gilbert Chigbo (Narrator) – The Deadwood
Best Indigenous Language Movie/Series (Swahili)
Njoki Muhoho – Mama Duka
Best Indigenous Language Movie/Series (Yoruba)
Mercy Aigbe – Komfo
Best Indigenous Language Movie/Series (Hausa)
Abba Muko Yakassai – Habib
Best Online Video
Amarachukwu Onoh – Mother Tongue
Best Writer (Drama)
Shirley Frimpong-Manso & Hertey Owusu – Contract
Best Writer (Comedy)
Jigi Bello – Flower Girl
Best Cinematographer
Christian Almesberger – Nairobi Half Life
Best Art Director
Barbara Minishi – Nairobi Half Life
Best Sound Editor
Obi Emelonye & Luke Corradine – Last Flight to Abuja
Best Video Editor
Shirley Frimpong-Manso – Contract
Best Lightning Designer
Mohammed Zain – Nairobi Half Life
Best Costume Designer
Chiemela Nwagboso – The Kingdom
Best Make-up Artist
Elayne Okaya – Nairobi Half Life
New Era Award Movie – Rita Dominic – The Meeting
Trailblazer Award – Michelle Bello
Industry Merit Award – Pete Edochie