Msanii wa maigizo Ali Baba wa Nigeria hivi karibuni amefichua siri kuwa amepata pesa nyingi zaidi tangu alipoanza kufanya kazi hiyo mwaka 1995.
Ali baba ambaye anatamba na filamu mbalimbali za kuvunja mbavu alisema kuwa amelipwa zaidi ya Naira Million 1.6 kutokana na kushiriki katika moja ya kampeni zinazoandaliwa na kamouni ya Nuffnoiz Entertaiment.''tangu nianze kuigiza mnamo mwaka 1995 ndio nimelipwa pesa nyingi zaidi kama malipo ya usanii..
Katika mgao huo baadhi ya wasanii pia walipata pesa nyingi akiwemo fela aliyepata Naira 500,000/= huku Ras Kimono akipokea Naira 150,000/=