Taasisi inayoshungulisha na watu wenye ulemavu wa ngozi ( ALBINISM) Under the same sun,kwa kushirikiana na chuo cha Filamu Nchini Sweden ( SWEEDISH FILM ISTITUTE) zipo karibu katika mpango wa kutayarisha filamu ya elimu juu ya watu hao na mauaji dhidi yao.
Mkurugenzi wa taasisi hiyo Vicky Nketema ,alisema wanaamini kupitia mpango huo utatoa ujumbe wa kupunguza mauaji ya albino nchini
Filamu hiyo inayoandaliwa na na kuongozwa na watukutoka nje ya Tanzania na kuchezwa na waigizaji wa Tanzania ina jina la