Kuna uvumi umeanza kuenea leo asubuhi kupitia mitandao ya kijamii na Blogs, ati rapper wa Young Money Drake amemvisha pete mcheza Tennis wa kike nambari moja duniani Serena Williams.
Ripota mkuu wa kidaku kutoka TMZ, amekanusha uvumi huu akidai si kweli na wawili hao wapo ‘busy’ na kazi zao huku kila mmoja akiwa mkoa tofauti na mwenzie.
Drake na Serena wameripotiwa kutoka kimapenzi, huku mara kadhaa wakidhihirisha ‘MAHABA’ ya kina hadharani.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.