Msanii wa kike Selena Gomes,ametoa video ya wimbo wake mpya unaoitwa same old love'' wimbo huo umeanza kufanya vyema katika chati mbalimbali huo Marekani na kuonekana kupata mashabiki wengi..
Wimbo huo mpya wa selena umeongozwa na mwongozaji Michael Haussman ambaye anaongoza nyimbo nyingi za msanii huyo
Gomes alisema kuwa ametoa wimbo huo baada ya kukaa kimya kwa muda sasa.,,mwimbaji huyo alisema kuwa yuko katika maandalizi ya kutengeneza albamu mpya ambayo inatarajiwa kutoka mwishoni mwa mwaka huu