Nyota ya muziki wa pop kutoka Nchini Marekani Janeth Jackson ,juzi aliibukia katika onyesho la mitindo huko Jijini Paris ..onyesho linalojulikana kama Paris week.
Onesho hilo ambalo linafanyika kila mwaka,linahusisha wanamitindo mbali mbali kutoka kona zote za Dunia.
Janeth 49 alionekana aliwa na mume wake Wissam Al Mana 40 kwa pamoja walionekana wakiwa wamevalia mavazi yenye rangi nyeusi.