Wasanii na marafiki wa muziki Marekani,Serena Gomez na Demi Lavato,wanatarajia kuungana kwa pamoja katika tamasha la Jingle Ball litakalifanyika December mwaka huu
Tamasha hilo linatarajia kuwakutanisha tena wasanii hao baada ya kufanya onesho kwa mara ya mwisho mwaka 2010..
Tamasha hilo ambalo linafanyika kila mwaka katika kipindi cha mapunziko ya siku kuu ya Krisimas,linahusisha wasanii mbali mbali kutoa burdani ambapo litafanyika December 3 mwaka huu,katika ukumbi wa Oracle Arena..