Google PlusRSS FeedEmail

KYLE JENNER AVISHWA PETE

                                              
Imefahamika kuwa Kyle Jenner amevishwa pete na mchumba Tyga  kwa siri.Hivi karibuni mrembo  huyo alionesha mkono wake ukiwa na pete ya  uchumba.

Kyle Jenner ambaye katika mtoko huo alikuwa akirusha mkono wake kuashiria kuwa anakitu kipya ,ambapo mara kwa mara alikuwa akishika mkono wake huo wa kushoto uliokuwa na pete hiyo..

Chanzo cha karibu cha mastaa hao kinasema tukio la kuvishana pete ya uchumba kwa wapenzi hao ni muendelezo wa mapenzi yao ambayo wamepanga kuja kuwa wapenzi maarufu zaidi..

Hata hivyo haikuweza kuwekwa wazi mara moja ni lini walivishana pete hizo huku taarifa zikisema kuwa huenda Tyga alimzika pete Kylie siku ya kutumiza miaka 18 

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging