Google PlusRSS FeedEmail

P - DIDDY ARUDI KWENYE GAME UPYA

                           
Baada ya kuwa kimya cha muda mrefu,Rapper maarufu Duniani P,Diddy ameibuka upyana kuachia wimbo uitwao'' Working ''

Nyota huyo alitumbuiza kwa mara ya kwanza wakati wa utoaji wa Tuzo za BET,Hip Hop August mwaka huu,katika tuzo hizo alifanikiwa pia kuimba wimbo wake mpya uitwao The Auction,wimbo ambao amewashirikisha kundi la The Family,Lenye wanamuziki watatu akiwemo Lil Kim,Los na Styles P of the Lox 

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging