Papa Patrick Okorie Patoranking amekaririwa akisema anakerwa na kashfa zinaonekana kwenye mitandao kwamba alikuwa mtoto na wa nje kabla ya kuoa
Katika mahojiano yake na mtandao wa Stargistic.com, Patoranking anayetamba na wimbo wake wa Alubarika alisema amekuwa na wakati mgumu ndani ya familia yake ,kwa sababu ya uvumi huo
Najua chanzo ni picha ya mtoto mchanga niliyoiweka kwenye ukurasa wangu wa Instagram ,lakini ukweli ni kwamba yule si mtoto wangu kama inavyodhaniwa ''alisema rapa huyo.