Google PlusRSS FeedEmail

RIHANNA KUFANYA SHOW BURE AFRIKA


MWANAMUZIKI wa kike anayetamba kwenye soko la muziki kutoka nchini Marekani Rihanna amehojiwa na jarida la The New York Times Style na kusema kuwa akialikwa Afrika Magaribi atafanya show bure kabisa. “Nataka nifanye kitu kwaajili ya watu wa huko, kama ambavyo Bob marley angefanya ‘.

Mwaka 2013 Rihanna alifanya show Cape Town, South Africa na mwaka huo alifanya show kwenye Mawazine Festival nchini Morocco. Rihanna hajawahi kufanya show West Africa au East Africa.

Hii inadhihirisha upendo wake kwa nchi za West Afrika 

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging