Mwanamitindo na mtangazaji wa vipindi vya Television Selena Gomez,mapema wiki hii aliwashangaza watu wengi mara baada ya kutokea katika moja ya tamasha la mavazi lilifanyika jijini London
Gomez ambaye alionekana kuchangamka siku hiyo alishuka katika gari lake huku akiwa amevalia gauni refu jeusi liloacha wazi sehemu ya juu ya kifua chake.
Mrembo huyo ambaye alishawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanamuziki Justine Beiber alizidi kuonekana mrembo mara baada ya kuanza kutembea kwa mikogo kuingia ndani ya ukumbumbi wa tukio
Aidha gauni hilo ambalo lilikuwa mpasuo mkubwa sehemu kubwa ya miguu yak ilikuwa wazi