Msanii nyota wa kike Mwasiti Almasi,amesema kuwa hana mpango wa kulipua nyimbo nyingi mfululizo kama wafanyavyo wasanii wengine hapa nchini
Mwasiti alisema kuwa hiyo ndio siri yake kubwa inayomfanya kudumu kwenye gemu kwa muda mrefu tangu alipotoa wimbo wake wa ''Nalivua pendo''
mwasiti alisikika akisema '' Kila mmoja ana ladha yake na kila mmoja ana nafasi yake ,mimi niponna nitaendelea kuwepo na hakuna nayenitisha kwenye muziki wa kizazi kipya.