Rapper mwenye asili ya Compton mkali YG, ameungana na wakali Chris Brown, Lil Wayne na Gucci Mane kuongeza idadi ya wasanii wenye michoro kichwani.
Mkali huyo yeye ameamua kuchora ‘Tattoo’ yenye picha ya Bikira Maria, ikiwa na maneno kutoka ndani ya bibilia yanayosomeka “No weapon formed against me shall prosper.”.
Katika hatua nyingine YG, anamalizia uandaaji wa album yake mpya ambapo amemtambulisha msanii wa kwanza atakaye kuwa chini ya lebo yake ya 4HUNNID, amemtaja kwa jina la Tanea na ni mwanamuziki wa R&B.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.