Ikiwa ni masaa machache tangu mfalme wa muziki wa pop duniani marehemu Michael Jacksoni aliyefariki Dunia, mnapo tarehe 25 June 2009 huko Los Angeles Marekani fans wake wamesheherekea siku yake ya kuzaliwa kwa style ya tofauti wakati yeye hayupo nasi hapa duniani..Michael alizaliwa tarehe 29 August 1958 Huko Gary Indiana,Snoop Dogg ni moja kati ya wasanii ambao walijumuika na kupiga show ya nguvu katika kusherehekea miaka 52 tangu kuzaliwa kwake japokuwa show ilihudhuriwa na watu weusi wengi ila ilifana, sana, wengine walio hudhuria show hiyo na kufana ,ni Warren G, akiwepo Snoop mwenyewe vile vile watuwengine maarufu waliohudhuria ni Mteteahaki za binaadamu hasa Weusi,Al Sharpton ambaye naye alikuwepo.. Katika sherehe hizo.. kilichowafurahisha zaidi mashabiki waliohudhuria
Kwa mwanamuziki wakati alipokuwa akitumbuiza mwanamuziki Snoop Dog akiwa amevalia Glov aliyopewa na Hayati Michael Jackson..Snoop aliongeza kwa kumsifia J kuwa alikuwa anajua nini anafanya katika kazi yake....
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.