Djs ambao kwa sasa ni gumzo kila kona ndani na nje ya Tanzania,Pro-24 djs, kwa sasa watakuwa wakitoa bonge la burudani kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi ndani ya ZHONG HUA GARDERN,wakishirikiana na Dj Peter Moe.
Djs hao kwa sasa wamekuwa gumzo ndani na nje ya nchi kutoka na style ya upigaji, na hasa wakiwa wanatumia style ya tofauti katika upigaji wa disco,
Wakati wakiwa katika 1 na 2 hutoweza kuvumilia kukaa maana kazi yao kukufanya ucheze mda wote
Kwa sasa wamejikita katika sehemu tofauti tofauti ndani na nje ya mipaka yetu,ila kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi huwa wanaunganika na dj Peter More
Ili kukupa raha zaidi wewe mpenzi wa burudani Pro-24Djz wakishirikiana na Dj Peter More watakuwa kila Jumamosi ya mwisho wa Mwezi ndani ya ZHONG HUA GARDERN wakikuletea usiku wa GROOVE BACK,MWANZO MWISHO