Google PlusRSS FeedEmail

HOT POT FAMILY BADO TUPO TULIKUWA TUMEPOZZ....


Wakati mengi yamezungumzwa kuhusiana na kundi la hot pot family linalongozwa  na mtu mzima Soggy Doggy mzee wa kibanda cha simu ,ameweka bayana ya kwamba kundi hilo halijafa liko kama kawaida na kwa hivi sasa wako studio wakimalizia ngoma yao mpya ya kundi lao..

                                      

Soggy aliongeza kwa kusema walisikika wao kwa mda mrefu akiimaanisha yeye,suma g,dogo mfaume ,na wengine wengi kwa sasa nguvu kubwa wanaiamishia katika kundi,maana kuna wengine ambao walikuwa wazuri na hawakuwai kupata nafasi ya kutoka sasa ni wakati muafaka na wao kuonyesha owezo wao ,kundi lina wasanii si chini ya kumi na tano (15) ila linawanachama zaidi ya watu 136,ambao wanatambulika katika kundi ambao wengine wanajishugulisha na kazi za ujasiliamali na wengine ni waajiriwa wa selikali,na wote hao wanasaidia kundi lisimame kama lilivyokuwa hapo mwanzo.. 

                                      
Soggy aliongeza kwa kusema ya kuwa kwa sasa wanajipanga kuja kuwapa burudani Watanzania kwa maana kuna vichwa vyenye mashairi yakutosha na ni hakika Watanzania watapokea ujio wao mpya ..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging