Kuingia sokoni kwa filamu mpya ya mtayarishaji Robert Rodriguez,imemrudisha kwenye chat mcheza filamu Steven Seagal.
Hilo limejidhihirisha kwenye filamu hiyo ya Machete ambapo nguli huyo amecheza na kuweza kuvaa uhusika kama ilivyotakiwa.
Katika filamu hiyo ambayo imeingia sokoni Hollywood mwanzoni mwa wiki hii imeonekana itampandisha chati nguli huyo
Hii inaonekana Seagal kuonyesha makali na kutoa mwashirio kuwa makali yake kuwa ni yale yale..
Maudhui ya filamu hiyo ni ulipaji wa kisasi ambao nguli huyo ameonyesha kumudu vyema..Hali hiyo inajotokeza pale Seagal alipoacha kazi ili aweze kulipiza kisasi kutokana na mauaji aliyofanya bosi wake wa zamani..
Wasanii wengine waliocheza filamu hiyo ni Danny Trejo,Robert De Niro,Jessica Alba na Michelle Rodriguez..
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.