SASA ZAMU YA GODZILA KUJA NA LEBO YAKE
Baada ya kupiga show za kutosha na kuingiza mkwanja mrefu, sasa Godzila ameamua kuanzisha lebo yake inayoitwa Godzila Inc na anakaribisha wasanii wenye uwezo.Godzila anaefanya vizuri anga za hiphop amesema sasa hivi anakuja dizain kama Drake
Pro 24 inakutakia kila la heri bro....