Google PlusRSS FeedEmail

JANET AANIKA MAISHA YAKE YA NDOA KWENYE WHY DID I GET MARRIED

Soko la filamu nchini marekani linaonekana kuwa zuri zaidi kwa wanamuziki nchini humo kukimbilia katika fani hiyo.
Hali hiyo imemfanya Janet Jackson ambaye ni dada wa nguli wa muziki wa Pop hayati Michael Jackson..
Janet ameingiza sokoni filamu yake mpya mwishoni mwa wiki

Filamu hiyo ambayo imepewa jina la WHY DIDI GET  MARRIED TOO,ambapo imeonekana kuanza kuibua mashabiki  wengi kutoka na kilichochezwa kwenye filamu hiyo ni vitu vinavyomuhusu janet mwenyewe.

Hii inatokana na maisha binafsi ya mwanamuziki huyo kuwa na misukosuko hasa katika ndoa yake,

Japokuwa Janet mwenyewe hajasema chochote kuhusiana na filamu hiyo,mitandao na vyombo vya habari vingi,vimeonekana vikitoa ujumbe tofauti tofauti kuhusiana na filamu hiyo

Mbali na Janet kucheza filamu hiyo wasanii wengine waliocheza ni Tyler Perry,Jill Scott,Sharon Leal,Malik Yoba,Richard T Jones na Tasha Smith..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging