Google PlusRSS FeedEmail

RESIDENT EVIL NI FILAMU INAYOTOA CHANGAMOTO KUBWA KWA WAANDAAJI WA FILAMU HUKO HOLLWOOD

Watayarishaji wengi wa filamu wa nchini Marekani wameonekana kubadilika katika utayarishaji wa filamu zinazoingia sokoni kila wiki.
Hali hiyo inatokana na kuwepo kwa kazi tofauti tofauti kila wiki kwenye soko la filamu huko Hollywood

Jambo ambalo imejionyesha kwenye filamu hiyo ya EVIL RESIDENT ni kwamba mwandishi wake aliegemea zaidi hasa kwenyemaswala ya kijamii zaidi..

Katika filamu hiyo inayoelezea matatizo yanayokumba jamii nyingi hapa duniani hasa kwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi na kusababisha matatizo katika jamii mbali mbali..

Kutokana na hali hiyo Alice anaonekana kufanya kila jitihada kupambana na maambukizihayo ambapo bila kutegemea anapata msaada kutoka kwa rafiki yake wa zamani

Jambo hilo ndio limefanya filamu hiyo kunoga na kingine ni washiriki ambao wamecheza katika filamu hiyo..baadhi ya wengine waliocheza  katika filamu hiyo ni Ally Larter,Kim Coates,Shawn Robert…

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging