Google PlusRSS FeedEmail

JAY Z ADATA NA MTOTO WA WILL SMITH

Binti wa mwanamuziki Will Smith na Jada Pinkett,Willow Smith 9 amesain mkataba wa kurecord katika kampuni ya mwanamuziki Jay Z ili kutoa singo yake ya kwanza WHIP MY HAIR..Ambayo tayari imeshaangaliwa na watu zaidi ya 100,000 siku ya kwanza ilipotoka  katika  You Tube.

Katika mahojiano aliyofanyiwa na mtangazaji wa cnn,Ryna Seacrest Jay Z amesema mtoto huyo ana kipaji cha kipekee,na ana kila sababu ya kuwa super  star,

Jay Z Aliongeza kwa kusema niliposikia wimbo wake kwa mara ya kwanza nilishangaa sana wala sikuamini kama mtoto huyo ndie ameimba wimbo huo.

Kwa mwanzo huu  naamini Willow Atakuwa mwanamuziki mkubwa siku za usoni
Willow  ni mtoto anayependa sana mitindo atakuwa mwanamuziki mzuri na mwanamitindo bora kwa siku za usoni ni mtoto anayejua nini anakifanya..alisikika akisema mwanamuziki huyo Shawn Carter.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging