Rapper Kanye West amedhaminiria kutunga kibao kimoja kwa ajili ya kuomba msamaa mwanadada Taylor Swift kwa kumtungia wimbo mwanadada huyo ambaye aliminterrup wakati akitoa speech kwenye Tunzo za Mtv VMAs.,za mwaka jana
Nimeandika wimbo kwa ajili ya Taylor Swift nimemsifia kwa urembo wake na jinsi alivyo mzuri,na kuna mashairi yanayosema kwamba kupitia wimbo huu naomba unisamee na waliokutenda pia,hakuna binadaamu aliyekamilika,ili ubinaadam ukamilike lazima kifo kije..aliongeza West kupitia ukurasa wake katika mtandao wa twitter
aliongeza kwa kusema Najua Tylor anapenda rap music,country music pia hakika atapokea ombi langu kwa alama chanya..