Google PlusRSS FeedEmail

LADY GAGA NAE AJIANDAA KUACHIA FILAMU

Mwanamuziki mwenye vituko vingi nchini Marekani,Lady Gaga amewaambia mashabiki wake yupo mbioni liachia filamu.


Lady alitoa kauli hiyo kwenye vyombo vya habari baada ya kudai kuwa huu ni muda wake wa kuhamisha makali yake ya muziki katika filamu.


Aliongeza kuwa kazi itakuwa ni ya mchanganyiko,ameshafanya mazungumzo na mtayarishaji wa X-Men Bryan Singer kwa ajili ya kuitengenezeza..
Hata hivyo mashabiki wa mwanamuziki huyo walionekana kumsifia hasa kutokana na uwezo wake wa kulishambulia jukwaa na wanahisi kuwa filamu yake itakuwa nzuri sana.


Lady Gaga ni mtu mbunifu ,kwani ni mtu wa kufikiri,na kutenda mambo mazuri kila wakati ,hivyo ni hakika filamu yake itakuwa moto wa kuotea mbali,alisikika mmoja wa mashabiki wake,
Hiyo ni ndonto ya mwanamuziki huyoambayoa anasema alikuwa akiiota tangu zamani,sasa anataka ndoto yake itimie..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging