Muimbaji wa nyimbo za injili Gospel Upendo Nkone ,Anatarajiwa kufunga ndoa tarehe 17 October 2010 na Mchungaji John Mbeyela ambaye pia ni Mgane mwenye watoto watatu,ndoa hito itafungwa katika kanisa la Naioth kwa mchungaji Mwasota .
Kwa mujibu wa mtandao wa strictly Gospel ,Ndoa hiyo inakuja baada ya miaka 9 ya kuwa mjane,Upendo Nkone tayari anazo Albamu tatu kibindoni nazo zikiwa ni Mungu Baba,Hapa Nilipo na Zipo Faida...
PRO - 24 We wish them all the best.