Mwana mama huyo Fracesca Spero,anadai alifukuzwa kazi katika lebo ya Bad Boy Records mapema mwaka huu,sababu kubwa aliyoambiwa kuwa yeye kwanza ni mzee na pia upasuaji aliofanyiwa hataweza kufanya kazi kwa kasi inayohitajika na record company..
Chanzo cha habari hakijaweka bayana kuwa mama huyo ni upasuaji gani alifanyiwa..ila kilieleza ya kuwa upasuaji huo utamlazimu mama huyo kupunguza kazi na kuongeza mda wake wa kupumzika..
Baaada ya kuondolewa kazini mwanamama huyo,alichukua hatua za kuipeleka kampuni hiyo na mmiliki wake na ambaye ni P-Didddy na kudai kulipwa fidia ya ya dolla za kimarekani million 12 $..
Mwanamama Fracesca Spero wa 3 kutoka kushoto
Hivi sasa mwanamuziki huyo amebadilisha jina na anapenda aitwe Diddy,ni majina mengi yalishatangulia kama Puff Dady akabadili Akaja na P-Diddy ,na sasa Diddy..je lipi litafata..?