Google PlusRSS FeedEmail

ALICIA KEYS - SWIZZ BEATZ WAPATA BABY BOY

Wapenzi wawili ambao wapo kwenye tasnia ya muziki duniani wajulikanao kama Super Couple Alicia Keys na mumewe Swizz Beatz wamepata mtoto wa kiume.

Kwa Alicia ni mtoto wa kwanza wakati kwa upande wa baba ni mtoto wa 3 ambapo kila mtoto ana mama yake.

Siku ya alhamisi iliripotiwa kuwa mwanamuziki huyo alienda hospitali na hatimae kujifungua salama katika hospitali iliyoko New York’s St. Luke’s Roosevelt.

Beatz, real name Kasseem Dean, tweeted his happiness shortly after the birth with a post on his Twitter.com blog.

The thrilled father wrote,kwa furaha aliyokuwa nayo baba wa mtoto huyo ambae jina lake halisi ni Kassem Dean, kupitia mtandao wa twitter “I’m so thankful for everything I been blessed with in my life wowwwwww.

Ambapo rafiki yao wakaribu Mary J. alikuwa miongoni mwa marafiki wa kwanza waliowatumia best wishes.

Jina la mtoto wa Alicia Key amemwita Egypt eti kisa anaipenda sana nchi ya Egypt

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging