Google PlusRSS FeedEmail

Sade Says She's Denied Jay-Z For A Collaboration

Katika dunia hii ya sasa ni mwanamziki gani atakayekataa kufanya shoo na Jay- Z, kama tuu mfalme huyo wa hiphop na mjasiriamali mkubwa..


Kama ulikuwa unafikiria kuwa hakuna wa kukataa basi mwanamama na mwimbaji wa  mziki toka nchini Uk ambaye anaasili ya Africa ya Magharibi ni mzaliwa wa  Ibadan, Nigeria, ameikataa fursa iliyopelekwa kwake na Rapper huyo na kumjibu kwa uzuri kuwa hawezi kufanya kazi nae.


Sade alisema siwezi kuicha bendi yangu kwa sababu tumekuwa tukifanya kazi pamoja na kutunga nyimbo pamoja na sasa tunataka kuanza kampeni yetu kubwa ya kimuziki,


Sade aliongeza si Jay –Z tu bali ni wengi waliotaka niingize sauti katika kazi zao.ila siko tayari kabisa kwa sasa,mwanamama alitamba na Albamu yake Soldier of love yenye nyimbo kumi nazo ni kama. Babyfather , Be That Easy ,  Bring Me Home , In Another Time  , Long Hard Road , Morning Bird , Skin Sade Soldier Of Love , The Moon , The Sky ,na  The Safest Place...

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging