Google PlusRSS FeedEmail

KWA WAJAWAZITO NA WATARAJIWA UJAUZITO...

Alicia Key ambaye ni Mwanamuziki maarufu nchini Marekani na Dunia kwa ujumla wiki iliyopita alijifungua mtoto wa kiume. Kitendo hicho alikuwa akikisubiri kwa hamu kubwa sana na hii ni kutokana na mke wa zamani wa mumewe Bi Mashonda kuwa na mtoto wa kiume..

Ujio wa mtoto huyo pia ni ahuweni kwa mashonda ambaye aliwahi lalamika kuwa Alicia anamwambia mwanae amwite mama (yani yeye Alicia). Kwa upande wapili kama ingekuwa huku kwetu Afrika basi tungesema Swizz Beatz ambaye ndio baba wa mtoto,ni kidume cha mbegu, kwa ambaye alikuwa hajui ni kwamba  uzao wa Alicia Key utakuwa ni wanne kwa jamaa huyu,na kila mama anakaa na watoto wake ..
Katika maisha ya ujauzito wa Alicia alikuwa akipiga mapigo ya kila aina...tofauti na wamama wengi wa hapa Tanzania na Africa ya Mashariki kwa ujumla,sio kwamba ukiwa mjamzito basi kupendeza ni mwiko hapana,chukua style moja kwa ajili ya ndudu jamaaa na marafiki ambao una mjamzito kampatie style hata moja....

hapa siku ya ndoa kila kitu kilikuwa tayari umeona eeehh sasa kwa wale wanafunga ndoa wakiwa na ujauzito sio mbaya ukachukua au vp wamependeza sana.....
katika moja ya mizunguko yake alikuwa akijiiiachia kwa nguo tofautii tofauti na zilikuwa zikimtoa mwake  mwake baaba ake..


This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging