Q Chillah aliongeza kwa kusema Adam wa visual lab hakukosea kunichagua maana kwa miaka mingi nilikuwa natamani sana kuwa hapo
Kwa sasa watu wawe wananisikilizia na kuniona kwenye video zitakazokuwa na ubora wa hali ya juu na mpaka sasa tumeshafanya video kadhaa zitaachiwa soon"
Mbali na hiyo Chillah aliongeza kwa kusema tarehe 29 mwezi huu atakuwa na show mkoani Tanga, kwenye ukumbi wa Tanga Beach Resort, na show hiyo itakuwa Live Band na ataongozana na wasanii wengine wanaofanya Bongo fleva, akiwemo Rais wa Ma Sharobaro Bob Junior. Hii itakuwa show ya kuhamasisha vijana kupiga kura siku ya tarehe 31 mwezi huu..

.jpg)