Google PlusRSS FeedEmail

LIL WAYNE MARA BAADA YA KUACHIWA ALA BATA KUSAHAU MACHUNGU YA JELA

Rapper Lil Wayne ameachiwa rasmi na kuwa huru baada ya kumalizika kwa kifungo chake,mara baada ya kuachiwa huru rapper huyo alijiaachia na baadhi wa wadau wake kula raha ili kujaribu kufuta machungu ya  jela..
Hapa akisindikizwa na flowers kuingia club iitwayo King of Diamonds pande za Miami ambapo aliandaliwa bata lililoitwa "Welcome Back Carter" na wadau kibao wakionyesha upendo kwa michini waliokuwemo Nicki Minaj,Drake,Birdman,Busta Rhymes,Bow Wow,Jay Sean na wadau wengine kibao walionekana wakifungua champagne na mazagazaga mengine mengine ya kufa mtu..

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging