Itakuwa ni albamu yake ya 11..,ambayo ameipatia jina Love Letter..mpaka sasa ameshaachia kibao chake cha kwanza ambacho kinakwenda kwa jina la when woman loves na anatarajia November 22 kuachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la Love Letter Christmas,
Love Letter ni kama ukurasa mpya kwa msanii huyo kwa maana itakuwa na ngoma ambazo ziko katika ubora wa hali ya juu kuliko kazi zake zote ambazo zimeshatangulia,aliongeza R-Kelly, anatarajia mauzo ya albamu hiyo kufikia nakala 34 million duniani kote








