Kama kundi alilokuwepo Shaa tunzo hiyo ilichukuliwa na msanii kutoka Kenya anajulikana kwa jina la Obita, na kundi alilokuwepo Gelly alichukuwa msanii kutoka Angola...
Labda wanakwenda kupiga picha au nini unafikiri ndio chanzo cha wasanii wetu kukosa tunzo hizo toma maoni yako kupitia katika sehemu ya commets then tuwafikishie watengenezaji wa video wa hapa nchini ili wafanyie kazi maoni yako...










