SARAH HARDING NA TOM CRANE WAVISHANA PETE,NA KWA MUJIBU WA BOOMBOX NDOA IKO JIKONI
Mwanamama Sarah Harding ambaye ni mwanamuziki wa kundi la Girls Aloud ameonekana jijini London katika tamasha la mavazi akiwa anaonyesha pete ambayo inasadikika amevishwa na mchumba crane Tom Crane ambaye ni mchekeshaji na ni Dj vile vile..kwa mujibu wa mtandao wa boom boz wachumba hao wawili wanatarajia kufunga ndoa hivi karibuni....








