Google PlusRSS FeedEmail

KAKA ZAO HAO WAJIPANGA KUJA KUWASHIKA

Lile kundi lijulikanalo kama Kaka zao ni family inayotengenezwa na watu watano ambao wote kwa pamoja ni wenyeji wa mkoa wa mwanza ama waweza kusema ni wa  kutoka kanda ya ziwa ,ambao ni Hardmad mkushi a.k.a Kidume akiwa kama kiongozi na Phantom ranks ambaye kwa sasa yuko nchini uswisi, wengine ni Fatma kilometa, Jahson pamoja na Susu.Tunafanya mziki aina ya dancehall na raga rumba.
Ambapo kwasasa  makazi yao wameyahamishia Jijini  Dar es salaam kwa ajiri ya shughuli  za Kimuziki.
Jahson ameachia Track pamoja na video inayoitwa HEAT akiwa na Hardmad na kwa sasa huko anafanya nyimbo nyingine inayoitwa Show me some love akiwa na Susu pamoja na Fatma. Hivi karibuni itakuwa hewani.

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging