Alecia Beth Moore - Artist Pink amepata mtoto na mume wake Carey Hart
Pink alitupia kwenye mtandao wa Twitter kuwa wana furaha kwa kumpata mtoto wa kike aitwaye Willow Sage Hart na yuko salama kiafya....
Pink na Carey Hart ndoa ilikua ya vituko coz walioana January 2006 na kuachana mwaka 2008 na kurudiana tena 2009 na mtoto Wollow Sage ni mtoto wao wa kwanza kwenye ndoa