Google PlusRSS FeedEmail

YVONNE SHARRY (MONALISA)NDANI YA NIGERIA ENTERTAIMENT AWARDS

            MONALISA
Mwigazaji wa filamu nchini Yvonne Charry ‘Monalisa’, amechaguliwa kuwania katika tuzo za Nigeria Entertaiment Award zitakazo fanyika Nigeria (NEA) ,kizungumzia jambo hilo amesema huu ni muda wa Tanzania, kujivua kwani kumpigia yeye kura ni sawa na kusaidia taifa katika kuendeleza sanaa hiii.
Amesema alisema upigaji wa kura mwisho mwisho wake ni August  27 mwezi huu huku tuzo hizo zikifanyika Newyork Marekani, katika kinyang'anyiro hicho atachuana na Akofa, Nadia, Guari, younne Okoro, Ama K, Abetrese na Jackie Appiah wakiwania Pan Africa Actress. Naomba kura za watanzania wote, ilikufanikisha kushinda kwa kuingia www.nigeriaentawards.com, nashukuru sana.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging