Google PlusRSS FeedEmail

ARNOLD SCHWARZNEGGER ATENGENEZA SANAMU ILI KUONYESHA JINSI MWILI WAKE ULIVYOJENGEKA.

Mcheza filamu za kibabe Arnold Schwarznegger ameamua kutengeneza sanamu zinazoonyesha alivyokuwa mtu mwenye misuli enzi zake za uigizaji huo
Katika kufanya hivyo mbabe huyo ambaye aliwahi kuwa Gavana wa Jimbo la California,anataka kuudhirishia ulimwengu kuwa alikuwa shujaa na anastahili heshima
Schwarzegger 64 a meagiza kutengenezwa sanamu tatu za madini ya fedha zenye urefu wa futi nane kila moja.sanamu hizo zinaonyesha alivyokuwa mtu alijengeka vyema kimwili

Arnold Schwarzenegger commissions statues of himself

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging