Akiongea na Pro-24 alisema yeye binafsi kama mdau,na mwigizaji atafurahisana kama wacheza filamu pamoja na waongozaji wajaribu kutengeneza filamu zenye ubora wa hali ya juu ili kuongeza soko la ndani ambalo kwa sasa limeshika kasi ya aina yake,Shamsa aliongeza hata wasanii wenyewe wamekuwa nyuma katika kujifunza vitu vipya kama lugha za kigeni ,kompyuta na masuala mengi kuhusiana na Filamu,”kwa staili hii hatuwezi kupata upeo na kuboresha kazi hakuna miujiza zaidi ya kukubali mabadiliko na kwenda na wakati “alisema na kuwaasa wasanii wezie wakubali mabadiliko na watumie kiasi cha fedha wanazopata ili kujiendeleza kielimu…
SHAMSA FORD AZUNGUMZIA UBORA WA FILAMU