Google PlusRSS FeedEmail

GREGORY FRANK AKANUSHA TUHUMA ZINAZO MKABILI KUWA YEYE ANA TABIA ZA USHOGA

                 
Nyota na Muigizaji wa filamu nchini Nigeria Gregory Frank ,ambaye inasadikiwa mpaka sasa ameshaigiza zaidi ya filamu 50,ameibuka na kuzungumzia uvumi ambao umezidi kuenea kwamba yeye ni shoga
Kwa mujubu wa star movie channel ya huko Nigeria kituo ambacho kilifanya mahijiano na msanii huyo alisema uvumi huo umeenea mara baada ya kucheza filamu Under ,ambapo niliigiza kama Tonto Dikeh,nilicheza kama shoga..nia ilikuwa kufikisha ujumbe kwa wadau na jamiii na kiafrika kwa ujumla..”katika filamu hiyo nilimwomba muongozajikuwa si vizuri kumbusu mwanaume lakini nililazimika kutokana na mimi kuwa ni msanii..
Kuhusu uvumi kuwa yeye ni shoga alisema “mimi si shoga.acha watu wazungumze kile ambachokila siku wanakizungumza ,wanaonifahamu na kunijua wanajua mimi si shoga ila wanasema wakishanijua wataacha kusema….

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging