Google PlusRSS FeedEmail

Marzieh Vafamehr condemned to a year in prison and 90 lashes

  
Mwigizaji nyota wa kike wa Irani,Marzieh Vafamehr amehukumiwa kwenda jela mwaka mmoja na kutandikwa viboko 90 mara baada ya kushiriki kwenye filamu My Tehran for Sale
Mwanamama huyo alikamatwa Mwezi July kutokana na kuigiza filamu hiyo ambayo picha zake zilipigwa kwenye mji wa Tehran,Sababu kubwa ni kwamba picha zake zilipigwa bila ruhusa kutoka kwa taasisi husika nchini Iran kwa sababu hiyo basi alikiuka taratibu na sheria za imani ya Kiislam..
Marzieh Vafamehr is married to Nasser Taghavi, a prominent Iranian film director and writer. After the arrest, Taghavi said the charges against his wife were nonpolitical and were related to the film “My Tehran for Sale.”

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging