Ibra Da Hustler toka Vatoloco Soldiers anakuja tena na track aloipa jina "Love to you",ngoma alomshirikisha Banx katika chorus,Mtu mzima ibra yupo katika final arrangements za kumaster album yake aloipa jina "paso wena" ambacho ni kilugha cha zulu kinachomaanisha "angalia"..safari yangu ya muziki bado changa sana kwahivyo mafans wote wakae sambamba na mimi mana apa ni kazi tu,drop after drop,hit after hit, Noizmekah.com ndo mahali pa kupata ngoma yangu mpya ambayo banx amedunga hook na pia latest project ya ma crew,the vatoloco soldiers,track ya "Situations" ambayo itakuwa katika album yetu ya ungalimi to queens" ambayo album cover ndio hilo hapo...
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.










hamna kitu hapo bora muimbe taarab,lakini hiyo siyo hip hop.