Mara baada ya taarifa za uzushi zinazoendelea katika mitandao mbali mbali, kama Facebook pamoja na BBM kuwa, Bi Kidude amefariki Dunia.kwa taarifa nilizozipata ni kuwa, B kidude yupo hai na bado anaendelea kuuguzwa na familia yake na hali yake si mbaya..Kidude anakadiriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 100 kwa sasa,kwa wapenzi wa muziki wa taarabu asilia wengi hupenda kumwita malkia wa muziki wa Taarab.








Bi kidude ana miaka zaidi ya 100 na yuko hai