
Wakati ndio kwanza wakiwMa wamefikisha mienzi miwili katika ndoa yao,mcheza filamu kutoka nchini Nigeria Mercy Johnson na mfanya biashara Prince Odianose Okojie amedaiwa kuwa mwanamama huyo kwa sasa amebadilika sana kimtazamo..Watu wa karibu na wanandoa hao wanasema mara baada ya baada ya ndoa amekuwa akikwepa kwaandishi wa habari,na kwa sasa hufanya hivyo mpaka anaporuhusiwa na mumewe.,Kwa siku za hivi karibuni mwanamama huyo ameoneka akiwa ameambatana na mumewe wakati wa upigaji picha wa filamu yake mpya ambayo inatarajiwa kutoka mapema mwaka ujao







