Google PlusRSS FeedEmail

MARA BAADA KUJIFUNGUA MTOTO WA KIUME AISHWARYA AONGEZA FURAHA KWA FAMILIA YA AMITABH BACHCHAN

  
Mwigizaji maarufu wa kike wa Nchini India huko Bollywood Aishwarya Rai Bachchan amesema anajisikia furaha isiyo kifani mara baada ya kujifungua salama mtoto wake wa kwanza wa kiume.Mwanadada amesema wazi kuwa furaha yake imeongezeka mara dufu kutokana na mkwewe,ambaye ni muingizaji nguli Nchini India Amitah Bachchan kufrahia ujio wa mjukuu wake huyo.Amesema kuwa furaha iliongezeka maradufu mkwewe huyo alipokwenda kumsalimia na kumpatia zawadi huku akitamba kumpata mjukuu huyo ambaye ni wa kwanza kwake..

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging