Google PlusRSS FeedEmail

SHERIA YA FILAMU NCHINI YAANZA KUFANYA KAZI

Baada ya watayarishaji wa Filamu Tanzania, kutoa filamu hovyo pasipokufuata kanuni na sheria ya filamu, kupitia Bodi ya Ukaguzi wa filamu na Michezo ya kuigiza inayotambuliwa kisheria, wamiliki wa filamu na wadau wanaojishughulisha na tasnia hii ya filamu wamepewa siku 90 za marekebisho ya filamu zao vinginevyo hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.Agizo hilo limetolewa mbele ya Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na michezo, Dk. Emmanuel Nchimbi, wakati wa uzinduzi wa kanuni za sheria ya filamu na Michezo ya kuigiza za mwaka 2011 zilizofanyika katika Ukumbi wa Uwekezaji wa Mkuu wa Mkoa wa Mara.

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging