Google PlusRSS FeedEmail

KING MAJUTO AMALIZA COMEDY YAKE MPYA

  
Mchekeshaji Afrika Mashariki na kati Amri Athuman ‘King Majuto’ anatarajia kuingiza sokoni komedi yake mpya inayokwenda kwa jina la After Money, komedi hiyo pia imeshirikisha wasanii nyota katika tasnia hii ya filamu Bongo wanaotesa katika game la vichekesho.Akiongea na PRO-24 kwa njia ya simu  mratibu wa kazi hiyo Moses Mwanyilu komedi hiyo ambayo imetengenezwa kwa kiwango kikubwa cha utayarishaji wa vichekesho nchini, na anatarajia kumaliza kiu ya wapenzi wa vichekesho nchini.Komedi hiyo imetengenezwa na kampuni mahiri ya utengenezaji Komedi ya Al Riyamy Production, wasanii kama Sharobaro, Kitale, Pembe bin Kichwa, na wasanii wengine wakali.

One Response so far.

  1. Anonymous says:

    kwakweli ni kweli sasahivi takriban asilimia kubwa ya watanzania imekuwa na kivutio kikubwa na film za vichekesho na hususan zinazomhusu huyu mzee majuto,kingwendu,kitale,sharobaro,bambo,pembe,senga na mtanga na wengine kwakweli natoa shukran zangu za dhati kwako king majuto na timu yako

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging