Huu ni utetezi kwa wagumu wanaojishughulisha na bishara ya utalii wa mlima mrefu kuliko yote africa,Mount Kilimanjaro na ndani ya pini hili alounda defxtro toka noizmekah arusha,Ras Mofire amshirikisha Uso wa kaskazini a.k.a. Bounako..Idea hii imenijia kwasababu shughuli zangu za kimaisha ni kuwapandisha watalii mlima kilimanjaro kwaivo hapa nimezungumzia yale matatizo yunayopata wadau wote katika secta hii,Mazuri mengi pia nimekumbbushia kuhusu kivutio chetu hiki,mafans wote mnipokee na kusupport haki kwa watanzania wanaopata chochote kupitia mlima Kilimanjaro...Jah Bless
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.